KAMA MPENZI WAKO AMEKUACHA BASI WEWE FANYA HIVI

                                 Leo nimekuja na mada mpya ambayo inawahusu wale ambao...

RAGE AWAPA SOMO SIMBA

MWENYEKITI wa zamani wa Klabu ya Simba Ismail Rage, amewataka viongozi waliopo madarakani kupunguza malumbano na wachezaji ili kujenga kikosi imara ambacho kitarudisha heshima...

VICHWA VYA HABARI MAGAZETI KUMI (10), VIKO HAPA

              

UCHAMBUZI : TID UKIENDELEA HIVI UNAWEZA UKAKOSA WATU WA KUFANYA NAO KAZI

Msanii TID siku chache zilizopita ameingia katika mzozo na wasanii wawili Mmoja ni msanii aliyekuwa katika Label yake ya Rada Entertainment Billnass na mwingine...

TETESI ZA USAJILI: LIVERPOOL IKO KATIKA MAZUNGUMZO KUMSAJILI MCHEZAJI HUYU WA SOUTHAMPTON

Liverpool iko katika mazungumzo ya kumsainisha mchezaji kutoka club ya Southampton ambaye ni Raia wa Senegal Sadio Mane kwa ada ya usajili ya pound...

ANGALIA Majina ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha tano na vyuo vya ufundi 2016

OR-TAMISEMI inawatangazia majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano na Vyuo vya Ufundi kwa mwaka 2016. Wanafunzi waliochaguliwa ni kutoka shule za...

LOS ANGELES

1. Los Angeles ni mji wa pili kwa Umaarufu nchini Marekani baada ya  jiji la New York 2. Unajulikana zaidi kwa jina maarufu kama jiji...

BAADA YA SAKATA LA DULLY KUTAKA KUONDOLEWA KWENYE CONFIDENCE TID AAMUA KUMPA MAKAVU

Kama ulifikiri Ile story ya DULLY SYKES kutaka kuondolewa kwenye wimbo wa  Confidence mara baada ya Dully Sykes kuonekana kutopenda uwepo wa JOH MAKINI,...

UNAJUA IDEA YA WIMBO WA JAY MOE KAMA UNATAKA DEMU ILIKUWA YA NANI?

Jay Moe ni msanii wa kitambo sana ambaye toka ameanza game amekuwa akifanya vizuri sana, Je Unajua Idea ya KAMA UNATAKA DEMU ilikuwa ni...

DIAMOND FEAT PAPA WEMBA WIMBO WAO KUTOKA LEO

Leo ijumaa ndiyo siku ambayo Tanzania na Dunia itaisikia collabo kati ya Diamond na Marehemu Papa Wemba. Collabo hiyo ilifanywa kabla ya Papa Wemba...

MATOKEO YA KURA ZA MAONI YA UINGEREZA KUBAKI AU KUJITOA KATIKA UMOJA WA ULAYA...

Nchi ya Uingereza jana ilipiga kura ya Maoni kwa wananchi wake kuamua kuendelea kubaki au kujitoa katika umoja wa ULAYA, Kura za maoni zinaonyesha...

TAARIFA ZA USAJILI WA MKENYA VICTOR WANYAMA ZIKO HAPA.

Mchezaji raia wa Kenya Victor Wanyama amefanikiwa kusainiwa kwenye club ya Tottenham kwenye kandarasi ya miaka 5, hivyo huenda akawa Tottenham mpaka mwaka 2021....

KUELEKEA TUZO ZA BET, PROFESSOR JAY AANDIKA HAYA KUHUSU DIAMOND PLATNUMZ

Msanii wa Hip Hop na Moja kati ya wasanii walioutoa muziki wa bongo kutoka kwenye kuonekana ni Uhuni mpaka kuonekana ni muziki wa kuelimisha...

USAJILI : MBEYA CITY YAMSAINISHA MCHEZAJI HUYU KUTOKA PRISON

Timu ya soka ya Mbeya City imefanikiwa kumnasa mchezaji kutoka kwa mahasimu wao Mbeya Prison mara baada ya kufanikiwa kumsainisha Mohamed Mkopi, Mohamed Mkopi...

HEMEDY ANAKUJA NA ALBAM YAKE, FAHAMU TAARIFA NA JINA LA ALBAM HIYO

Msanii Hemedy PHD amesema kwasasa anampango wa Kuja na Albam yake , Hemedy amesema Albam yake  itaitwa Virgo ikiwa ni jina la Nyota Yake,...