KILA KAYA KUWA NA UMEME KABLA YA MWAKA 2030

Akizindua ripoti ya mpango mkakati wa upatikanaji umeme kwa wote Tanzania Ulioasisiwa na Umoja wa mataifa UN Profesa Muhongo alisema Kabla ya mwaka 2030...

KURASA ZA MBELE ZA MAGAZETI (HARD NEWS, UDAKU, NA HABARI ZA MICHEZO)

                                                  ...

Q CHIEF NI KWELI ATAJIUNGA WCB? FAHAMU UKWELI

Msanii Q Chief amekuwa akihusishwa na kujiunga WCB WASAFI, sasa leo kupitia Amplifaya ya Clouds Fm amesema vitu ambavyo ni wazi yuko tayari kujiunga...

Download wimbo Mpya | Diamond Platnumz | ft P’square KIDOGO.mp3

Huu Ndiyo wimbo mpya wa Dioamond Platnumz akiwa na P Square kutoka Nigeria Upakue Hapa

Angalia | Diamond Platnumz feat P Square (Kidogo Official Video)

Angalia Video Mpya Ya Diamond Akiwa na P Square kutokea pande za Nigeria, Video imefanywa na Godfather.            [youtube https://www.youtube.com/watch?v=p54aaeL7W1s]

ROMA MKATOLIKI JUMATANO HII ANAKULETEA KITU KIPYA

Roma mkatoliki  ametoa Teaser au Kipande cha Video ya wimbo wake mpya ambayo inaonekana kwa sekunde kadhaa ila Humo ndani atakuwa na Darassa pamoja...

FUTURE APATA DEAL NA KAMPUNI HII YA KUTENGENEZA VIATU

Rapper Future amekuwa moja kati ya Rappers ambao wameingia katika ushirikiano wa kuwa Moja kati ya wasanii wachache watakaofanya kazi kwa kushirikiana na kampuni...

SONGA KUTOA VIDEO YA WIMBO HUU HIVI KARIBUNI

Msanii Songa amewaahidi mashabiki wake kutoa wimbo wa HISIA ZA MOYONI kupitia mtandao wake wa Instagram mapema leo asubuhi. ambapo tayari kipande chake kidogo...

ACE HOOD AMEACHIA MIXTAPE MPYA YENYE NGOMA 18

Rapper Ace Hood ameachia mixtape yake inayokwenda kwa jina la  Starvation 5, ambayo itakuwa na ngoma Kumi na Nane. Ngoma hizo ni 1. “Category 5 (Intro)” 2....

Download | Neylee | – Namba Moja mp3

Wimbo mpya wa Mwanadada anayewakilisha vizuri jiji la mbeya Neylee unaitwa Namba Moja, Kuupakua Click Button ya Download.

KIKOSI BORA CHA MASHINDANO YA EURO (FIRST ELEVEN)

Ureno wametoa wachezaji wanne, Ujerumani wametoa watatu, Ufaransa 2, Wales wawili.

HAWA NDIYO WACHEZAJI WATAKAUUZWA NA JOSE MOURINHO

Tetesi ambazo zimetufikia ni kuwa Kocha Jose Mourinho anampango wa kuwauza wachezaji Juan Mata, Bastan Schweinsteiger. toka Mourinho amewasili Man U basi kuna wachezaji wamekuwa...

SAMSUNG GALAXY S7 YAFELI JARIBIO LA KUSTAHIMILI KUKAA NDANI YA MAJI.

Image copyrightGETTYImage captionSamsung yafeli mtihani wa kuwa ndani ya maji Simu ya kisasa ya Samsung Galaxy S7 inayopigiwa upatu kuwa na uwezo wa kustahimili kuwa...

Hofu Kukamatwa kwa Gwajima, Waumini Washangaa

Askofu Gwajima. KIONGOZI mmoja wa Kanisa la Ufufuo na Uzima ambaye hakutaja jina lake kwa madai ya kuwa siyo msemaji, amesema kuwa tetesi zinazotawala mitandaoni...

HUYU NDIYE MRITHI WA DAVID CAMEROON UINGEREZA

Theresa May. Mwanamama Theresa May amekuwa mgombea pekee ndani ya chama tawala cha Conservative nchini Uingereza, aliyebakia katika kinyanganyiro cha kumrithi waziri mkuu aliyejiuzulu David...

PICHA: kampuni ya viatu ya vans wanakuja na toleo kwa ajili ya wachezaji wa...

Vans wamekuwa moja ya kampuni inayofanya poa kwa aina ya viatu vyake, sasa wanampango wa kuja na toleo ambalo watatoa viatu ambayo vitatumika wakati...

FAHAMU MASTAA WENGINE AMBAO WATATOKEA KWENYE EMPIRE SEASON THREE

French Montana na Birdman wametajwa kuwa kati ya mastaa ambao wataongezeka na kuonekana katika Empire season Three. Mwanzo ilisemekana kuwa XZIBIT Angekuwa moja kati ya...

WACHEZAJI WATANO (5) YANGA HUENDA WAKAIKOSA MECHI DHIDI YA MEDIAMA

WASHAMBULIAJI wawili wa Yanga wako hatarini kukosa mechi ya Kombe la Shirikisho dhidi ya Medeama ya Ghana Jumamosi baada ya kukosa mazoezi kutokana na...

Angalia Goli la EDER lililowapa Ubingwa Ureno

 Hili Ndiyo goli lililopeleka Furaha nchini Portugal baada ya kuwa ndiyo goli pekee katika nechi hiyo ya Fainali kati ya Portugal na Ufaransa.  ...