NEW VIDEO: NAY WA MITEGO – SAKA HELA

moja  kati ya videos kali za kuzitazama hii ya nay wa mitego nayo imo. angalia utoe maoni yako [youtube https://www.youtube.com/watch?v=_xPahWe8BvY]

THE INDUSTRY HAWAKO KUBAHATISHA angalia video ya SELINE – NJOO

  The Industry wameanza kuonyesha kuwa wao si  watu wa story na kweli wamedhamiria kuleta mapinduzi mara baada ya msanii ambaye juzi kati alitambulishwa kuwa...

LICHA YA NUH MZIWANDA KUPOST COVER YA SHILOLE INSTAGRAM ,SHILOLE ADAI HAKUIONA

siku kadhaa zilizopita NUH MZIWANDA ambaye alikuwa mpenzi wa zamani wa SHILOLE  Alipost cover ya wimbo mpya wa shilole unaoitwa say my name na...

MATOKEO KOMBE LA SHIRIKISHO CUF HAYA HAPA

Mechi zilichezwa weekend hii na haya ndiyo matokeo

BAGHDAD HAKUKURUPUKA KUMCHANA BABU TALE KWENYE MTAZAMO REMIX, SOMA SABABU

Kwanza wiki kadhaa zilizopita msanii PG Kweka aka Baghdad aliachia kibao chake cha mtazamo remix akimshirikisha mdogo wake Professor JAY 7NKOLI na NIKKI MBISHI ndani ya...

HASSAN KESSY SASA RASMI YANGA ONA PICHA YAKE AKISAINI

HASSAN KESSY aliyekuwa mchezaji wa pembeni wa club ya Simba kabla ya kufungiwa na team yake hiyo  huku mkataba wake ukisemekana kuisha mwisho wa...

KAA TAYARI KWA WIMBO MPYA TOKA KWA SHILOLE LEO UNATOKA

SHILOLE anakuja na wimbo wake mpya unaoitwa Say My Name wimbo huo utatambulishwa rasmi leo kwenye kipindi cha leo tena CLOUDS FM.

LUCA TONI ASTAAFU RASMI SOKA NA KUWAFUNGA JUVENTUS

  LUCA TONI raia wa ITALY ambaye mpaka jana anastaafu soka akiwa na miaka 38, amemaliza vizuri Career/Taaluma yake ya soka mara baada ya timu...

CLEVELAND CAVALIERS YATINGA FAINALI NBA EASTERN CONFERENCE MARA YA PILI MFULULIZO

Timu ya kikapu toka nchini Marekani Cleveland Cavaliers imefanikiwa kutinga hatua inayofuata ya Fainali za NBA ila kwa upande wa Mashariki yani  Eastern Conference...

GIGY MONEY APOST TENA PICHA NA IDRIS NA KUANDIKA YAFUATAYO

GIGY MONEY alipost picha hii na kuandika maneno haya dhidi ya wote wanaomshambulia " maneno yenyewe haya hapa