MAN FONGO NA NDOTO ZAKE ZA KUFANYA KAZI NA WCB

Man Fongo licha ya kukiri kuwa kwenye management yake ila amefunguka kuwa angependa sana kufanya na WCB na akafunguka pia kuwa endapo atapewa Collabo...

PEP GUARDIOLA KAFUNGUKA KUHUSU KUSALIMIANA NA MOURINHO WATAKAPOKUTANA JUMATATU

Pep Guardiola amesema hana tatizo kuhusu Kusalimiana na Jose Mourinho wakati ambao Manchester United itacheza na Manchester City pande za Beijing China, kwenye mashindano...

JOE BUDDEN AACHIA WIMBO WA NNE AKIMDISS DRAKE TENA

Joe Budden ameendelea kuteka mitandao hasa ya wapenzi wa muziki Duniani mara baada ya kuachia wimbo wa nne ambao kamdiss Drake. Joe Budden  Ameachia...

KOCHA CLAUDIO RANIERI HUENDA AKAWABANIA ARSENAL KUMSAJILI MAHREZ

Baada ya vyombo vingi vya habari kuandika kuhusu Mahrez mchezaji wa Leicester kuwa katika mazungumzo ya kuhamia Arsenal zote za England. Mtandao wa Skysports umeandika...

PICHA 8: MWIGIZAJI JACKLINE WOLPER ATANGAZA KUHAMA CHADEMA NA KIJIUNGA NA CCM

Mwigizaji wa filamu nchini Tanzania Jackline Wolper aliyekuwa aki muunga mkono Edward Lowassa katika uchaguzi Mkuu 2015, ametangaza kujiunga na CCM rasmi leo Julai...

Habari katika kurasa za magazeti ya Tanzania leo Julai 24, 2016(Habari za michezo pia...

Habari katika kurasa za magazeti ya Tanzania leo Julai 24, 2016. 

YANGA KUWAKOSA WACHEZAJI WATATU MECHI DHIDI YA MEDEAMA, WAFAHAMU HAPA

Ikiwa timu ya Yanga tayari imeshafika nchini Ghana kwa ajili ya mechi ya Marudiano dhidi ya Medeama,Yanga itawakosa wachezaji hawa katika mechi hiyo ambao...

PICHA: IGGY AZAELEA AAMUA KUONYESHA CHURA(ZIGO) WAKE

Iggy Azaelea ameamua kuachia sehemu ya mwili wake wazi huku akionyesha zigo alilonao, huku wengi wa washabiki wake wakisema ni kama yuko kwenye biashara...

AZAM FC HATARI YAISAMBARATISHA MSHIKAMANO FC

Azam Fc imefanikiwa kushinda jumla ya goli 5 kwa 0 ilipocheza na Mshikamano Fc timu inayoshiriki ligi daraja la kwanza. Magoli ya Azam yamefungwa na...

HAYA NDIYO MAKUNDI YALIYOINGIA 5 BORA DANCE 100

Leo jumamosi Usaili uliendelea na mchujo ukachukua nafasi yake pande za  viwanja vya Leaders Kinondoni huku Makundi matano (5) yakifanikiwa Kuingia ambayo ni J COMBAT...

MLIPUKO WAUA WATU ZAIDI YA 60 NA KUJERUHI ZAIDI YA WATU 200

Kumeripotiwa mlipuko wa kujitoa mhanga  katika mji mkuu wa Afghanstan yani Kabul ulioua watu zaidi ya 60 na Kujeruhi watu zaidi ya 200. Imeripotiwa...

FAHAMU IDADI YA NGOMA AMBAZO AMEWAHI KUFANYA CHID BENZ

Chid moja kati ya Rappers ambao walifanya kazi nyingi sana miaka ya nyuma huku nyingi zikiwa Collabo, amesema kuna mtu alikaa akatafuta idadi ya...

TETESI ZA USAJILI LEO JULY 23: KUHUSU ARSENAL NA JUVENTUS (RIYAD MAHREZ, GONZALO...

JUVENTUS NA GONZALO HIGUAIN Mchezaji Gonzalo Higuain Anatarajiwa kusaini mkataba wa miaka minne katika club kutoka nchi ya Italy timu ya Juventus, Juventus wametoa kiasi...

YANGA NA MEDIAMA KURUDIANA SIKU HII

Timu ya Yanga Imekwea pipa kwenda Ghana Leo Alfajiri kwa ajili ya mchezo wa marudiano na Timu ya Mediama ya nchini Ghana. Mechi hiyo inatarajiwa...

KAA TAYARI KWA VIDEO YA TORATI YA MTAA

Video ya Torati ya mtaa iko tayari na leo jioni  inatarajiwa kuachiwa Rasmi, Torati ya Mtaa ni moja kati ya Collabo za Hip Hop...

CHID BENZ ATAJA KIWANGO CHA FEDHA ALICHOTOA DIAMOND KWA AJILI YA MATIBABU

Msanii Chid Benz ambaye kwasasa yuko fiti baada ya kusumbuliwa kidogo na matatizo ya kutumia madawa ya kulevya, kupitia kipindi cha The Playlist cha...

DAVID MOYES ARUDI TENA LIGI KUU YA UINGEREZA

Aliyekuwa kocha wa timu ya Manchester United kabla ya kutimuliwa kwa aibu sasa amepata deal mpya kwenye Club ya Sunderland na tayari ameshasaini mkataba...

VIDEO : DIAMOND PLATNUMZ ALIPOKUTANA NA PRODUCER SWIZ BEATS

Hii hapa Video ambayo Imewakutanisha Diamond Platnumz na Producer mkubwa Duniani Swiz Beats, ikumbukwe Swiz Beats amewahi kupost Video akisikiliza wimbo wa Diamond Platnumz. [youtube...

MAGARI YANASIYOTUMIA MAFUTA SASA YAFIKA KENYA

Hii ndiyo Dunia ya Teknolojia bana , Nchi jirani ya Kenya tayari wameshaingia kwenye Teknolojia ya Magari yasiyotumia mafuta hata kidogo. Magari hayo ni magari...