RATIBA YA EURO UFARANSA HATUA YA NUSU FAINALI (FAHAMU NANI ATACHEZA NA NANI NA...

July 6  Portugal  vs Wales. July 7 Germany vs France. Mechi zote zitaanza saa nne usiku ( 2200 Hours )

MATOKEO YA MWISHO EURO KATI YA FRANCE(UFARANSA) NA ICELAND

FT France 5 - 2 Iceland Giroud dakika 13 Pogba dakika ya 20 Payet dakika ya 43 Griezmann dakika ya 45 Giroud dakika ya 59 Magoli ya Iceleand yamefungwa na Birkir Bjamasson

FAHAMU KAMA DRAKE NA RIHANNA WAMERUDIANA AMA HAWAJARUDIANA

Rihanna na Drake wamezidi kuwaacha fans wao na maswali mengi juu ya Mahusiano yao, Unaambiwa Ijumaa hii iliyoisha waliondoka Muda Mmoja  kwenye Club moja...

KOURTNEY KARDASHIAN ALIVYOJIACHIA PANDE ZA MIAMI NI KIVAZI CHAKE CHA KUOGELEA

Kourtney Kardashian alivyojiachia pande za Miami nchini Marekani ndani ya kivazi cha Kuogelea

TAARIFA ZA USAJILI ZA ARSENAL ZIKO HAPA

Arsenal wamekubali kumsajili mshambulizi chipukizi kutoka Japan Takuma Asano. Mshambulizi huyo mwenye umri wa miaka 21 amejiunga na the Gunners akitokea klabu ya nyumbani ya...

FRANCE (UFARANSA) VS ICELAND FAHAMU HISTORIA TIMU HIZO ZILIPOKUTANA KATIKA MICHUANO YA KIRAFIKI NA...

FRANCE  VS ICELAND Timu hizi zimekutana mara  Kumi na tano 15. Ufaransa wameshinda mara Kumi na Moja  11. Wametoka sare mara nne  4. Iceland haijawahi kupata Ushindi katika mechi...

ANGALIA VIDEO: OMMY DIMPOZ AKIWA NA WAYNE ROONEY PANDE ZA IBIZA SPAIN

            Mwanamuziki kutoka Tanzania Ommy Dimpoz akiwa na mchezaji wa Manchester United Wayne Rooney pande za Hispania, Video haina Sauti    ...

UCHAMBUZI : UJIO WA SINGELI UTAUA TAARAB NA NI TISHIO KWA BONGO FLEVA

SINGELI KUIUA TAARAB Ni muziki unaoaminika chanzo chake ni Uswahilini na mwanzo wakati unaanza washabiki wake wengi walikuwa ni watu wa Uswazi. Waswahili wanasema "mwanzo ni...

TODAY IN HISTORY, JULY 3

1608 - The city of Quebec was founded by Samuel de Champlain.  1775 - U.S. Gen. George Washington took command of the Continental Army at...

WAFAHAMU WASANII WAWILI WALIOPATA SHAVU LA KUTUMBUIZA(PERFORM) IKULU YA MAREKANI, YUMO RAPPER MKALI

Tarehe nne (4)  ya kila mwaka Marekani huwa wanasherehekea maadhimisho ya  sikukuu ya Uhuru, kama ilivyo kwa Tanzania tarehe 9/12 ya kila mwaka. Basi pande...

VITU VITATU VILIVYOPIGWA MARUFUKU DAR, UPO USHOGA PIA

 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amepiga marufuku vitu vitatu kutoonekana katika mkoa wa Dar es Salaam. Akizungumza kwenye kongamano la Dini...

MATOKEO YA MWISHO KATI YA ITALY NA GERMANY(UJERUMANI)

Mpaka dakika 45 ZINAKATIKA au zinaisha matokeo bado ni bila kwa bila. KWASASA  Ujerumani wamepata goli kupitia kwa MESUT OZIL DAKIKA ya 65 , Italy wamechomoa Goal...

VIKOSI KATI YA ITALY NA UJERUMANI VIKO HAPA

Vikosi vinavyoanza leo kati ya Ujerumani na Italy viko hapa

TETESI ZA USAJILI BARANI ULAYA

Image copyrightEPAImage captionVan Persie Henrikh Mkhitaryan, 27, atakamilisha uhamisho kutoka Borussia Dortmund kwenda Manchester United weekend hii. Image copyrightGETTYImage captionSaido Berahino Mchezaji huyo kutoka Armenia atagharimu takriban...

JERRY MURO KIBOKO, AWASHINDA TFF KWA UZEMBE WAO MDOGO SANA

Afisa Habari wa Yanga leo alitakiwa Kufika TFF kwa ajili ya kwenda kufanyiwa maamuzi kutokana na mashtaka aliyokuwa akikabiliwa nayo. Unajua Jerry kawashinda wapi TFF?...

SHABIKI WA MANCHESTER UNITED UKISOMA HAPA LAZIMA UFURAHI KUHUSU ZLATAN IBRAHIMOVIC

Baada ya Manchester United Kumsajili Zlatan Ibrahimovic,  Basi kama ulikuwa hujui toka mwaka 2001 Ibrahimovic  Kwa timu zote ambazo amekuwa akihamia Walipata Ubingwa kwenye...

BAADA YA KUSEMEKANA JACKLINE WOLPER AMEBAKWA, AYAANDIKA HAYA INSTAGRAM

Dia wa filamu za Bongo nchini Tanzania baada ya kuandikwa kwenye gazeti la Sani kuwa amebakwa aliyaandika haya kwenye ukurasa wake wa Instagram. @wolperstylish – I...

ITALY VS GERMANY (FAHAMU HISTORIA MARA ZOTE WALIZOKUTANA NA DONDOO MUHIMU KUELEKEA MECHI YA...

Italy na Germany zimeshacheza Mechi 33 katika mechi mbalimbali za kimashindano na Kirafiki Italy imeshinda mechi 15. Ujerumani imeshinda mechi 8. Zimetoka droo mechi 10. Italy haijawahi Kufungwa...

LADY JAYDEE ANAKUJA NA WIMBO MPYA,FAHAMU JINA NA SIKU ATAKAYOUACHIA

Baada ya kufanya Vizuri na wimbo wake wa Ndi Ndi Ndi sasa mwanamuziki Lady Jaydee anatarajia kutoa kazi mpya. Jide ataachia wimbo unaoitwa Sawa na...