MATOKEO COPA AMERICA NA NBA YAKO HAPA

Timu ya CAVALIERS imekataa uteja mbele ya Golden State Warriors baada ya kupata ushindi mkubwa Wa vikapu 120 kwa 90, huku Lebron James akiweka...

POLISI MKOANI KIGOMA WAKAMATA BUNDUKI MBILI NA MAMIA YA RISASI.SOMA ZAIDI HAPA KUJUA IDADI...

Polisi Mkoani Kigoma Wamekamata Bunduki Mbili aina Ya SAR na SMG na Risasi 422 , Kamanda wa Polisi Mkoani Kigoma NSELU  alisema walipokea Taarifa...

HOTUBA YA WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO ILIYOSOMWA LEO BINGENI HII HAPA

MATUKIO-MICHUZI Matukio haya na yale sambamba na habar Matukio haya na yale sambamba na habar HOTUBA YA WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO, MHESHIMIWA DKT. PHILIP I. MPANGO (MB), AKIWASILISHA...

BAJETI 2016 : HIZI NDIZO BIDHAA AMBAZO KODI ZAKE ZIMEONGEZEKA

Vinywaji baridi kutoka Sh55 hadi Sh58 Juisi ya matunda ya nchini kutoka Sh10 hadi Sh11 Juisi kwa matunda yanayozalishwa nje, kutoka Sh200 hadi Sh200 kwa lita...

HUKUMU ALIYOPEWA ALIYEMTUKANA RAIS MAGUFULI HII HAPA

Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa Wa Arusha,imemhukumu  Isack Habakuki(40) mkazi Wa Olasiti, kifungo cha miaka mitatu jela au kulipa faini ya shilingi milioni 7...

USAJILI : MBEYA CITY YAIVURUGA AZAM IPO KATIKA MAZUNGUMZO NA MCHEZAJI HUYU

club ya Mbeya City imesema iko katika mazungumzo Na mshambuliaji wa Azam Fc didier Kavumbagu. mbeya City imeandika katika mtandao wake wa kijamii juu...

USAJILI MANCHESTER UNITED : MOURNINHO AANZA NA HUYU HAPA

Manchester United imemtangaza Rasmi Eric Bailly aliyekuwa mchezaji wa Villareal ambapo Eric amesaini Miaka minne, Eric mwenye miaka 22 pia ni mchezaji wa timu...

UCHAMBUZI UJIO MPYA WA JAY MOE – ( PESA YA MADAFU)

UCHAMBUZI UJIO MPYA WA JAY MOE - ( PESA YA MADAFU) Jay Moe ni moja kati ya wasanii wa Rap ambao walianza kitambo kidogo, moja kati...

HUYU NDIYE PRODUCER MTANZANIA ALIYETANGAZA KUACHA PRODUCTION NA KUWA RAPPER

Producer Mswaki almaarufu Mswaki Mabiti ametangaza rasmi kuacha kutengeneza Beats ( Midundo) na kuamua kuwa Rapper na tayari Ameshaanza kufanya muziki rasmi, hata kabla...

ALICHOKISEMA HASSAN KESSY KUHUSU JUMA ABDUL, KIKO HAPA

Mchezaji mpya aliyesajiliwa kutoka Simba na Kujiunga na YANGA Ramadhan Kessy amesema Yeye hajaja Yanga Kushindana na JUMA ABDUL ila amekuja kumsaidia, Kessy aliendelea...

KATIKA KUKABILIANA NA MADAWA YA KULEVYA MAREKANI WAMETOA HILI KWENYE VIWANJA VYA NDEGE

Kamanda wa Polisi wa Viwanja vya ndege ACP Martin Otieno amesema wana mashine maalumu zinazosaidia kukamata madawa ya kulevya na Mbwa ambao wamepewa na...

BREAKING NEWS : ALIYEWAHI KUWA MCHEZAJI WA TIMU YA TAIFA NA KOCHA WA NIGERIA...

Aliyewahi kuwa mchezaji wa timu ya taifa ya Nigeria, Captain na baadae kocha wa Timu hiyo ya Taifa Stephen Keshi ameripotiwa Kufariki Dunia, Vyombo...

KAULI YA HESLB KUHUSU TAARIFA ZA VIGEZO VYA KUPATA MIKOPO KWA MWAKA 2016/2017

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu inapenda kukanusha taarifa zinazosambazwa kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii kuwa imetangaza sifa na vigezo vitakavyotumika katika uchambuzi...

STORY ILIVYOKUWA KATI YA POLISI NA WAFUASI WA CHADEMA KAHAMA IKO HAPA

Askari wa kikosi cha kutuliza ghasia (FFU) wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga wamewasambaratisha viongozi, wanachama na wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA...

USAJILI : WAGENI WALIOSAJILIWA YANGA WAINGIA HOFU

Baadhi ya wachezaji waliosajiliwa msimu huu wameingia hofu kutokana na kikosi cha YANGA kilichopo, Kipa Benno aliyetoka Prison ya Mbeya alisema kasajiliwa Yanga kuja...