KAMPUNI YA PUMA YAINGIA KATIKA UTATA WA KUTENGENEZA BIDHAA ZENYE KIWANGO DUNI

Kampuni ambayo inasifika kwa miaka mingi sasa katika Utengenezaji wa wa bidhaa tofauti na hasa vya soka ya PUMA imeingia katika lawama za wapenzi...

MATOKEO YA MWISHO KATI YA YANGA NA MO BEJAIA

Matokeo kati ya Yanga ya Tanzania na Mo Bejaia ya ALgeria yameisha kwa Yanga kufungwa Ugenini kwa bao moja kwa bila, Yanga imemaliza mchezo...

MATOKEO KATI YA YANGA NA MO BEJAIA DAKIKA YA 75

Mpaka sasa Mo Bejaia inaoongoza kwa bao moja kwa bila. Mechi inaenda vizuri licha ya kuwa Mo Bejaia walianza kwa kushambulia sana ila YANGA...

New Video : Usher Raymond – Crash

           [youtube https://www.youtube.com/watch?v=fp_qAAi-T0E]

KIKOSI CHA YANGA KITAKACHOANZA LEO KIKO HAPA

  KIKOSI CHA YANGA LEO   1. Deogratius Munishi 'Dida'   2.Mbuyu Junior Twite   3. Oscar Fanuel Joshua.  4. Kelvin Patrick Yondani 'Cotton'  5. Vicent Bossou   6. Thabani Michael Kamusoko   7.Simon Happygod Msuva   8.Harouna Fadhil...

TID AMSAINI MSANII HUYU RADA ENTERTAINMENT

Msanii TID aka Mzee kigogo amemsaini msanii mwingine kwenye Label yake ya Rada Entertainment, sio mgeni sana kwenye game ya Msanii wa bongo anayejulikana...

SABABU ZA POLISI KUZUIA MAHAFALI YA WANAFUNZI WANACHAMA WA CHADEMA VYUO VIKUU

 Naibu Katibu Mkuu wa Chadema , Salum Mwalimu amesema wanafunzi saba wamekamatwa katika tukio hilo akiwamo Makamu wa Rais wa Udom, Rose Maluchu.  ...

HIKI NDICHO KITU WALICHOANZA KUOGOPA WA ALGERIA KWA YANGA

Yanga leo itakuwa ikishuka dimbani kupambana na Mo Bejaia ya Algeria, mchezo utakaopchezwa leo huko Algeria ila YANGA kupitia kwa Afisa habari wake Jerry...

RONALDO AZIDI KUKUTANA NA BALAA EURO, MATOKEO KATI YA URENO NA AUSTRIA YAKO HAPA

Timu ya taifa ya Ureno imejikuta ikitoka droo mechi yake ya pili mfululizo mara baada ya mechi ya jana kukubali sare kutoka wa Austria...

Belle 9 – Burger Movie Selfie Remix.mp3

Bonyeza Link iliyoandikwa DOWNLOAD chini kabisa kudownload

WALE KATANGAZA KUTOA MIXTAPE MPYA

Msanii WALE Ametangaza kutoa mixtape yake mpya inayoitwa We The Best Radio ,  WALE amemtangaza pia DJ KHALED kama mtu ambaye atakuwa Co Host...

Hutaamini ambacho Amber Rose huwa anakifanya Mtoto wake akilia kama njia ya kumnyamazisha

Mwanamitindo Amber Rose amesema Katika vitu ambavyo huwa hajutii kuvifanya mbele ya mwanaye huwa ni Ku Twerk mbele yake,  ku twerk ni ile style...

Bongo kila kitu Fursa, Mwasiti anakuja na Collabo ya msanii huyu.

Mwanamuziki wa Kike toka Tanzania Mwasiti Almas amesema anatarajia kutoa collabo kali ambayo aliifanya miaka miwili iliyopita na msanii Chid Benz, chid kwa muda...

Matokeo Euro na Copa America yako hapa

   Haya ndiyo matokeo ya Euro na Copa America  

MASTAA AMBAO KABLA YA KUWA MAARUFU WALIWAHI KUJIHUSISHA NA BIASHARA YA MADAWA YA KULEVYA

IDRIS ELBA Jamaa kabla hajawa mwingizaji wa movie amewahi kuwa Dj, Mlinzi wa Club wale wanaochukuaga pesa,  na pia aliwahi kuwa muuza madawa ya kulevya...

MATOKEO YA NBA GAME 6

Timu ya Cavaliers imefanikiwa kupata ushindi alfajiri ya  leo baada ya kuwashinda Warriors kwa vikapu 115 kwa 101 na hivyo kufanya matokeo kuwa 3...