PICHA YA MWISHO ALIYOPIGWA MAREHEMU MOHAMMED ALI

Hii ndiyo picha inayoaminika kuwa ndiyo ya mwisho kupigwa marehemu  Mohammed Ali

HII NDIYO IDADI YA FOLLOWERS ALIYOIONGEZA RICH MAVOKO INSTAGRAM TOKA AMETANGAZWA KUJIUNGA WCB

Rich Mavoko ni msanii ambaye June ( 2) Mbili  aliweza kutangazwa kuwa ni mmoja wa Member wa WCB ambapoaliaachia kibao chake pia chini ya...

BREAKING NEWS : KALE KAMCHEZO KA WABUNGE WA UPINZANI BUNGENI KAMEENDELEA NA LEO

Kale ka mchezo ka wabunge wa UPINZANI kutoka Nje ya Bunge pale naibu spika anapokuwa anaongoza  kameendelea na leo asubuhi mara baada ya Naibu...

MATOKEO MECHI ZA KUFUZU AFCON NA COPA AMERICA HAYA HAPA

                           COPA AMERICA matokeo yalikuwa kama hapa chini inavyoonekana

USAJILI : SIMBA NA AZAM ZAPIGANA VIKUMBO KWA MCHEZAJI HUYU

Timu za Simba na Azam zinadaiwa kuingia katika battle/ Ushindani kwenye usajili wa mchezaji toka timu ya Prisons Ya Mbeya Striker Jeremiah Juma ambaye...

NDOA YA MENINAH NA MTOTO WA WAZIRI KWISHA, MENINA AFUNGA NDOA NA MTU MWINGINE...

Msanii wa Bongo Fleva Menina amewaacha watu midomo wazi mara baada ya kufunga ndoa mpya huku ikiwa ni uthibitisho kuwa hayuko tena na aliyekuwa...

MWANA FA UTAOA LINI? BADO NIPO NIPO HAIPO TENA ONA PICHA MWANA FA AKIFUNGA...

Hatimaye rapper wa Tanzania Mwana Fa Ameondoa ile kauli yake ya kwenye wimbo wake mwenyewe wa bado nipo nipo sana na kuamua kuoa, hizi...

HUYU NDIYE MCHEZAJI WA BARCELONA ALIYEENDA KWENYE MATCH YA FAINALI ZA NBA, MATOKEO PIA...

atika mechi ya pili kati ya zile saba za NBA leo alfajiri imeshuhudia GSW ikishinda tena mechi ya leo baada ya kushinda 110 kwa...

USWIZI YAPIGA KURA ZA MAONI KUHUSU WANANCHI KUWA WANALIPWA KILA MWEZI KIWANGO HIKI CHA...

    Iwapo kura hiyo itapitishwa, serikali ya Uswisi itakuwa ikiwalipa raia wake ambao wanaishi nchini humo kihalali, kiasi cha dola 2,500 kila mwezi sawa...

TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA MWANZA KWA VYOMBO VYA HABARI LEO TAREHE...

TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA MWANZA KWA VYOMBO VYA HABARI LEO TAREHE 05.06.2016 KWAMBA MNAMO TAREHE 03.05.2016 SIKU YA IJUMAA ASKARI POLISI KWA...

HAWA NDIYO WACHEZAJI WA KIMATAIFA WATAKAOONGEZWA NA YANGA

NYOTA watatu kutoka Nigeria, Ghana na Zimbabwe wanatarajia kutua nchini ndani ya siku mbili zijazo tayari kuanza mipango ya kujiunga na Yanga. Mshambuliaji hatari Walter...

RAIS ATEMBELEA KANISA LA MZEE WA UPAKO NA KUAHIDI KUTEKELEZA HILI

Rais John Magufuli, leo amejumuika na waumini wa kanisa linaloongozwa na Mchungaji Antony Lusekelo maarufu kama mzee wa Upako, lililopo Ubungo Kibangu jijini Dar...

UCHAGUZI YANGA : MAJINA YA WALIOPITISHWA KWENYE USAILI ULIOFANYIKA LEO HAYA HAPA

Majina 19 yaliyopitishwa baada ya USAILI uliofanyika leo haya hapa

MAMBO 5 YANAYOWEZA KUMFANYA RAYMOND (RAYVANNY) KUDUMU KWENYE MUZIKI

1. Nidhamu Katika kila jambo ambalo huwa linafanywa kwa kushirikiana na watu wengine kama hii ya muziki nidhamu huwa ni moja kati ya jambo la...

KOMAACONCERT

Jay Moe – Pesa ya Madafu ( Official Video )

Video imefanyika South Africa [youtube https://www.youtube.com/watch?v=FxwHQNMvL1E]

TIMU 5 AMBAZO ZIMESHAFUZU KWAAJILI YA MICHUANO YA AFCON 2017 HIZI HAPA

Timu tano ambazo mpaka sasa zimeshafuzu kwaajili ya AFCON mwaka 2017 ni Gabon ambao wananafasi kama mwandaaji wa michuano hiyo, nyingine ni Algeria, Cameroon,...

MATOKEO YOTE YA MATCH ZA JANA AFRICA NA COPA AMERICA YAKO HAPA

AFRICAN CUP OF NATIONS RESULTS/MATOKEO  COPA AMERICA MATOKEO NI HAYA HAPA Hata mechi ya brazil dhidi ya Ecuador imeisha kwa sare tasa

SASA NI VITA YA POLISI NA MAJAMBAZI MWANZA. STORY MPYA KUTOKA MWANZA HII...

Baada ya siku chache zilizopita polisi mkoa wa mwanza kuua jambazi mmoja na watatu kutoroka, leo tena Polisi mkoani Mwanza wamemuua jambazi mmoja baada ya...