SABABU NNE ZA SHILOLE KUTOKA NA VITOTO VIDOGO KIMAPENZI

1: KUOGOPA KUZEESHWA “Mimi ni kijana kutembea na wazee siwezi, naweza kujikuta nimezeeshwa bure kitu ambacho sikitaki hata kukisikia, kwani naamini bado nina uhitaji kama...

WANACHUO UDSM WAGOMA SABABU ZIKO HAPA

Wanachuo wa chuo kikuu cha Dar Es Salaam UDSM wamegoma mara baada ya kucheleweshewa fedha zao za kujikimu, mpaka sasa ni wiki 10 ikielekea...

WOLPER NA MAMA MKWE : ONA MANENO ALIYOYAANDIKA KUHUSU MAMA MKWE WAKE.

 Wolper kupitia mtandao wa Instagram aliandika maneno haya akiwa kapiga picha na mama mkwe wake, mama Harmonize " I am having the best time of...

UKIZISIKIA SABABU ZA SIMBA UKAWA KUJITOA KUISAPOTI SIMBA UTABAKI MDOMO WAZI. ZIKO HAPA

Simba Ukawa wametoa TAMKO la kujitoa kuuisapoti Club ya Simba kufuatia kile walichokiita ni hujma ambazo wamekuwa wakifanyiwa na kupelekea kuhatarisha maisha yao, ambapo...

HUU NDIYO MSAADA WALIOUTOA KITUO CHA MKUTANO CHA AICC MKUU WA MKOA WA...

Uongozi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC) umemkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Daudi Ntibenda madawati 100 yenye thamani ya zaidi ya...

SOMA KUJUA KAMA : Rais ana mamlaka ya kisheria kutoa msamaha kwa watuhumiwa wa...

Waziri wa Katiba na Sheria, Dk Harrison Mwakyembe amesema Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete hakutumia ibara ya 45 ya Katiba kutoa...

NAIBU SPIKA (TULIA ACKSON) ASABABISHA WAPINZANI KUJA NA HUU MPANGO

Baada ya jana Naibu Spika kusababisha wabunge wote pasipo kujali itikadi kuungana baada ya naibu spika huyo kukataa ombi la suala la wanafunzi 7000...

DIWANI CHADEMA AFIKISHWA POLISI AKITUHUMIWA KWA UBAKAJI. SOMA ZAIDI

Diwani wa chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA wa kata ya Mtibwa wilayani Mvomero LUCAS EDWARD  maarufu kama Mwakambaya  ameshikiliwa na polisi kwa tuhuma...

CEMENT YA DANGOTE YAZIDI KUSHUKA BEI

KAMPUNI ya Saruji Dangote, imepunguza bei ya saruji yake   kuongeza ushindani kwenye soko la saruji nchini. Hayo yalisemwa jana katika taarifa ya kampuni hiyo iliyotolewa...

ALICHOKIANDIKA ZITTO KABWE BAADA YA KUTANGAZWA KUSIMAMISHWA VIKAO BUNGENI

Haya ndiyo aliyoyaandika Zitto KABWE kupitia mtandao wake wa Twitter baada ya sakata la kusimamishwa  BUNGENI.

GOLDEN STATE WARRIORS KIBOKO WATINGA FAINALI ZA NBA. FAHAMU FAINALI ITAANZA LINI HAPA

Leo alfajiri katika match iliyokuwa ikisubiriwa kwa hali na mali imemalizika kwa GSW kupata ushindi dhidi ya OKC na kupata tiketi ya kucheza Fainali...

SERIKALI KUGAWA VYANDARUA BURE KWA MAKUNDI HAYA

Serikali ya Tanzania kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa mapambano dhidi ya Malaria wameendelea na jitihada za kupambana na ugonjwa huo ili kufikia lengo...

YA WOLPER NA HARMONIZE SIO UTANI: ONA WOLPER AKICHUMA MATEMBELE UKWENI KWA KINA HARMONIZE

Kama ulifikiri Harmonize anatania juu ya Wolper basi anza kubadili mawazo yako, ukiacha wikiend iliyopita ambapo Harmonize alimtambulisha stejini mama yake na mpenzi wake...

ADELE ANUNUA NYUMBA MPYA, IKO HAPA FAHAMU THAMANI YAKE PIA HAPA

   ADELE hit maker wa Hello  amenunuamjengo wenye thamani ya  dolla milioni 9.5 sawa na shilingi za kitanzania   20,814,975,000   kwa siri  hata hivyo...

ILIVYOKUWA MTWARA MARA BAADA YA HARMONIZE KUMPANDISHA STEJINI WOLPER

[youtube https://www.youtube.com/watch?v=tinzYtujMa4]