HII NDIYO LOGO MPYA YA INSTAGRAM AMBAYO IMEONEKANA KUWAKERA WATEJA WENGI ione hapa

Leo INSTAGRAM wameitambulisha LOGO yao mpya ambayo imeinekana kuwa na maoni mchanganyiko kuhusiana na muonekano wake ila wengi wameonekana kutoipenda na wameweka wazi hisia...

WAKATI SHEREHE ZA KUMUAPISHA MUSEVEN ZIKITARAJIWA KUFANYIKA KESHO, LEO BESIGYE NAYE KAAPISHWA KAMA RAIS...

DRAMA inayoendelea UGANDA ni noma, wakati Sherehe za kumuapisha YOWERI MUSEVEN zikitarajiwa kufanyika kesho huku viongozi kadhaa wa kimataifa wakiwemo ma Rais na wawakilishi...

MATOKEO KATI YA MAJI MAJI NA SIMBA YAKO HAPA

matokeo kati ya maji maji na simba mchezo uliopigwa kule songea umeisha kwa sare ya bila kwa bila FT Maji Maji 0 Simba 0

GIGY MONEY APOST PICHA AKIWA NA GADNER G HABASH, ONA MUDA ALIOKOJOLESHWA HAPA

ni wazi kuwa Gigy Money amekuwa akisumbua sana mitandaoni kwa picha zake tata hasa kule INSTAGRAM, Leo amepost picha nyingine tata leo amepost picha nyingine...

WAJUE WATAKAOKUWEPO XXL, PLANET BONGO HAPA

XXL kipindi cha mchana kuanzia saa 7  hadi 10 kupitia clouds fm watakuwepo mafikizolo wakifanyiwa xclusive interview PLANET BONGO Show ya mchana kuanzia saa 7 hadi 10...

New Video: TEKNO – WHERE

[youtube https://www.youtube.com/watch?v=ooFAF18L5wQ]

COVER ZAIDI ZA WIMBO WA BARAKA da PRINCE “siwezi” ZINAKUJA SOMA HAPA KUJUA...

  Msanii BARAKA DA PRINCE jana akiongea kupitia kipindi cha showtime newchapter alisema cover nyingi zaidi za wimbo huo zinategemewa kuja, mpaka sasa kuna cover...

OKLAHOMA CITY THUNDERS YATENGENEZA MATUMAINI KUVUKA NEXT STAGE

OKLAHOMA CITY THUNDERS kifupi OKC alfajiri ya leo wamezidi kudhihirisha kuwa wamepania kutinga fainali za NBA  mara baada ya kushinda game 5.  Wameifunga Spurs...

MATUMAINI YA MANCHESTER UNITED KUSHIRIKI UEFA SASA YANASUBIRI MIUJIZA

Soka ni mchezo wa ajabu sana na huwa haumpi ya moja kwa moja mtu kutamba kabla ya filimbi ya mwisho kupulizwa na mwamuzi, chochote...

STEPHEN CURRY ASHINDA MARA YA 2 MFULULIZO KAMA MVP

Mchezaji wa timu ya basketball ya GOLDEN STATE WARRIORS nchini MAREKANI  , STEPHEN CURRY amechukua tuzo ya MVP yani Most Valuable Player kwa msimu...

FID Q AKIRI KUWA SIHITAJI MARAFIKI ILIMFANYA ACHUKULIWE VIBAYA NA MARAFIKI ZAKE

Akiongea kupitia Show ya Planet Bongo ya East Africa Radio, Fid q Q anayetamba na wimbo wake wa Walk It Off aliomshirikisha Taz alikiri...

HAWA NDIYO WATAKUWEPO LEO 10/5/2016 KWENYE PLANET BONGO, LADHA 3600 NA TAKE 1

PLANET BONGO hiki ni kipindi cha East AFrica RADIO leo watakuwa na msanii kutoka label ya PKP inayoongozwa na OMMY DIMPOZ, ambaye amesainiwa siku si...

MPOTO APATA ULAJI GGM soma hapa kujua

pichani ni mrisho mpoto Msanii wa muziki wa asili kutoka Tanzania ameteuliwa na Mgodi wa Dhahabu wa Geita ya GGM Geita Gold Mines wakishirikiana na...

PICHA : STEPHEN CURRY AIONGOZA VYEMA GSW SOMA KUJUA ALIFUNGA VIKAPU VINGAPI

Alfajiri ya leo kulikuwa na bonge ya game ya basketball upande wa West Conference ambapo Trail Blazers walikipiga na mabingwa wa msimu uliopita wa...