Tetesi za usajili Simba leo 10 June 2019

SIMBA imesisitiza kwamba watafanya usajili wa aina yake msimu huu lakini wachezaji wawili watakaowasajili ni mshtuko. Kikosi hicho kilichopo...

Okwi: Sina bifu na Simba

SAHAU kabisa kinachoelezwa mtaani kwamba straika wa Simba,Mganda Emmanuel Okwi amewafungia vioo viongozi wa klabu yake hiyo hasa suala la kuongeza mkataba...

Tetesi za usajili Simba Leo 9 June 2019

KIMYA kingi kina mshindo. Hivyo ndivyo inavyotarajiwa kuwa ndani ya Simba kwani viongozi wa klabu hiyo, wanatarajiwa kuwashtua wapenzi wao kwa kuwashushia...

Chilunda afunguka usajili Simba na Yanga

MSHAMBULIAJI wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Shaaban Chilunda, amesema hana mpango wa kucheza katika klabu yoyote hapa nchini kwani...

Wawa awaita Yanga mezani

BEKI wa Simba, Pascal Wawa, amesema kwa kuwa klabu yake hiyo bado imekaa kimya juu yake, anaendelea kukaribisha ofa zaidi kutoka kwingikeo,...

Tetesi za usajili Simba leo 8 June 2019

MSHAMBULIAJI wa Simba, Adam Salamba, ameomba kuondoka kutokana na kukosa namba katika kikosi cha kwanza cha kocha Patrick Aussems.

Simba yajiondoa Kagame Cup

Mabingwa wa Tanzania Bara, Simba SC imetangaza kujiondoa rasmi kwenye michuano ya Klabu Afrika Mashariki na Kati (Kombe la Kagame) iliyopangwa kuanza...

Simba yajibu mapigo usajili wa Yanga

KOCHA wa Simba,Patrick Aussems amesisitiza kwamba usajili utakaofanyika wa wachezaji wa kigeni utakuwa na kishindo cha aina yake na hakuna timu ya...

Nyota 7 watemwa Stars yupo Ajibu na Mkude

Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars inategemewa kusafiri leo kuelekea Misri ambako itaweka kambi kwa ajiki ya kujiandaa na michuano...

Namungo wabisha hodi Simba

IMEBAINIKA kuwa nyota wa Simba, Adam Salamba amekuwa akiwindwa na klabu ya Namungo FC ambayo imepanda daraja pamoja na timu ambayo amewahi...