Sajili zilizokamilika Leo Tanzania

Sajili zilizokamilika Leo Tanzania Kiungo mshambuliaji REHAN KIBINGU Anaendelea kusalia KMC kwa miaka mitatu...

Tetesi za usajili Simba Leo 18 June 2019

TIMU ya Simba inatarajia kucheza mchezo wa kirafiki Juni 21, mwaka huu dhidi ya timu ya Gwambina FC, ambapo Mchezo huo ambao utapigwa Uwanja wa...

Juma Balinya : Okwi kanileta Yanga

MSHAMBULIAJI mpya wa Yanga, Juma Balinya raia wa Uganda amefunguka kwamba moja ya watu ambao wamechangia yeye kutua Yanga ni mshambuliaji wa...

KMC waizima Yanga

UONGOZI wa KMC umezima ndoto za Yanga baada ya kuwaongezea mikataba nyota wake wawili Charles Hassan Kabunda pamoja na Charles Ilanfia miaka...

Sajili zilizokamilika leo Tanzania

Sajili zilizokamilika leo Tanzania Klabu ya Simba mapema sana leo imefanikiwa...

AFCON kumbakiza Kamusoko Yanga

KUNA uwezekano mkubwa jina la kiungo wa timu ya taifa ya Zimbabwe, Thabani Kamusoko, likaendelea kuwepo ndani ya Yanga.

Simba yajibu mapigo

SIMBA imejibu mapigo ya watani wao wa jadi Yanga waliomtambulisha straika kutoka Uganda, Juma Balinya kutoka Polisi FC ya huko kwa kumpigia...

Yanga mpya Mtaipenda

YANGA imezidi kunoga baada ya tukio lao la juzi lililowakutanisha wadau wa klabu hiyo, sambamba na harambee waliyoiendesha kwenye ukumbi wa Diamond...

Tambwe ashauri Yanga kusajili Straika huyu

MSHAMBULIAJI wa Yanga, Amissi Tambwe ameitaka klabu hiyo kumsajili straika wa Mwadui FC, Salum Aiyee kwani anaweza kusaidia...

Polokwane wamuomba mwingine baada ya Bocco

KLABU ya Polokwane ya Afrika Kusini imekubali yaishe kwa mshambuliaji wa Simba, John Bocco na kumuomba kwa mkopo Adam Salamba aende kukipiga...