LATEST ARTICLES

Mechi za Simba na Yanga zasogezwa Mbele

Mechi za Simba na Yanga zasogezwa Mbele Tayari homa ya pambano la watani wa jadi SImba na Yanga September 30, 2018 katika uwanja wa Taifa...

Hivi ndivyo Zahera alivyoponda aina ya Uchezaji wa Tshishimbi

Hivi ndivyo Zahera alivyoponda aina ya Uchezaji wa Tshishimbi Wakati washabiki wa Yanga wakiwa na Furaha kutokana na ujio wa Feisal Salum katika eneo la...

Pigo Yanga kuelekea mchezo wake dhidi ya Singida United

Pigo Yanga kuelekea mchezo wake dhidi ya Singida United Jumapili kutakuwa na Mchezo wa Ligi kuu soka ya Tanzania bara TPL msimu wa 2018/2019  kati...

Msimamo ligi kuu Tanzania Bara TPL 2018/2019

Msimamo ligi kuu Tanzania Bara TPL 2018/2019 Huu ndiyo Msimamo wa Ligi Kuu soka ya Tanzania Bara TPL Msimu wa 2018/2019. Kuzipata Habari zetu kwa haraka...
video

Video : Goli la Makambo Yanga vs Coastal union 19.9.2018

Video : Goli la Makambo Yanga vs Coastal union 19.9.2018

Matokeo Yanga vs Coastal Union TPL 19.9.2018

Matokeo Yanga vs Coastal Union TPL 19.9.2018 Matokeo mechi kati ya Yanga dhidi ya Coastal Union kutoka uwanja wa Taifa jijini Dar Es Salaam. Mechi Imeanza Yanga...

Kikosi cha Yanga dhidi ya Coastal Union leo 19.9.2018

Kikosi cha Yanga dhidi ya Coastal Union leo 19.9.2018 Golikipa Klaus Kindoki anaanza katika kikosi cha Yanga kitakachoivaa Coastal Union saa moja jioni saa za...

Kikosi na wafungaji kipindi Yanga anamfunga Coastal 8 kwa 0

Kikosi na wafungaji kipindi Yanga anamfunga Coastal 8 kwa 0 Kipigo cha kihistoria Yanga waliipa Coastal Union ni 8-0 Aprili 8, mwaka 2015 Uwanja wa...

Mwinyi Zahera afurahia mabeki wanavyomkamia MAKAMBO

Mwinyi Zahera afurahia mabeki wanavyomkamia MAKAMBO Kocha Mkuu wa Yanga, Mkongomani, Mwinyi Zahera amewaambia mabeki wa timu pinzani kuwa yeye hana hofu wao waendelee kumkaba...

Kocha wa zamani Yanga atua Singida United

Kocha wa zamani Yanga atua Singida United Singida United ya mjini Singida imefaniiwa kumuongeza moja ya makocha ambao wamewahi kuifundisha Yanga katika msimu uliopita. Singida United...