Kagere amchimba mkwara Makambo

MSHAMBULIAJI wa Simba, Mnyarwanda, Meddie Kagere amemchimba mkwara mpinzani wake katika mbio za kuwania ufungaji bora wa Ligi Kuu Bara, Harietier Makakambo...

Yanga jeuri kuanza na mchezaji wa Simba

KAMATI ya hamasa na uchangiaji ya Yanga, imemuita Mwinyi Zahera na kumwambia awape mchanganuo wa kila kitu anachohitaji. Ikabidi avute pumzi atabasamu...

Makambo noma aweka rekodi Yanga

MSHAMBULIAJI wa Yanga Heritier Makambo raia wa DR Congo ameweka rekodi msimu huu kwa kuweza kufikisha mabao 15 katika Ligi Kuu Bara.

Habari njema kutoka Yanga leo 15 April 2019

Baada ya kugawa vichapo ikicheza katika uwanja wake wa CCM Kirumba ikiutumia kama uwanja wake wa Nyumbani klabu ya Yanga leo asubuhi...

Habari mpya kutoka Yanga usiku wa leo 14 April 2019

Habari mpya kutoka Yanga usiku wa leo 14 April 2019 Baada ya kukusanya Points 6...

Post ya Dismas Ten baada ya Simba Kukaa

Baada ya Simba kupoteza kwa bao 4 kwa 1 mbele ya TP Mazembe nchini Congo , Afisa habari...

Wamarekani Waipa Yanga bilioni Moja

UNAWEZA kusema rasmi kamati ya uhamasishaji wa kuichangia Yanga, iliyozinduliwa Aprili 6, mwaka huu ndani ya Morena Hoteli mjini Dodoma, ambayo iko...

Ajibu aondolewa rasmi Yanga kisa hiki hapa

Chanzo cha habari kimelieleza gazeti hili hivi: “Tayari viongozi wetu wameshamshtukia Ajibu juu ya janja yake ya kugoma kuisaidia timu katika michezo...

Mechi Atakazozikosa Yondani baada ya kadi nyekundu

Mechi Atakazozikosa Yondani baada ya kadi nyekundu Katika mchezo kati ya Yanga na Kagera Sugar...

Habari Mpya kutoka Yanga asubuhi leo 12 April 2019

Habari Mpya kutoka Yanga asubuhi leo 12 April 2019 Jana...